Paul Makonda Asimulia Alichofanyiwa na Reginald Mengi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema kwamba Mwenyekiti wa IPP, Dkt. Reginald Mengi aliwahi kumchangia ada wakati akiwa chuoni, na ndiye tajiri pekee ambaye amewahi kufika chumbani kwake kwenye Chuo alichokua akisoma.


Ameyasema hayo leo kwenye sherehe ya kuwatunza askari waliofanya vizuri kwa Mwaka 2018, akisisitiza kuwa katika kipindi hicho hakuwahi kuwa na ndoto ya kuja kuwa kiongozi.

Paul Makonda pia ameyaomba makampuni ya IPP kuunga mkono Serengeti boys, ili kuweza kutoa hamasa zaidi wa mashabiki ili timu iweze kufuzu mashindano yajayo.

Makonda anasimulia zaidi


“Tena wakati huo hata ndoto ya kuja kuwa Mkuu wa Wilaya, Kiongozi Vyuo Vikuu haikuwepo, kwasababu wewe ni mlezi wa hii timu tuunganishe nguvu tuingie Brazil”, amesema Paul Makonda.

Hii leo Jeshi la Polisi limetoa tuzo maalum kwa askari ambao wamefanya vizuri kwa mwaka 2018, tukio ambalo lilihudhuriwa na watu mbali mbali ikiwemo wasanii
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad