Ronaldo Aweka Rekodi Ya Dunia

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ronaldo Aweka Rekodi Ya Dunia
MSHAMBULIAJI Cristiano Ronaldo, juzi, aliweka rekodi ya pekee baada ya kufanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Italia (Serie A), na timu yake ya Juventus.

Ronaldo anaweka rekodi ya kuwa mchezaji cwa kwanza kihistoria kushinda ubingwa wa Serie A, Premier (England) na La Liga (Hispania).

Juzi Ronaldo alitwaa ubingwa huo baada ya timu yake kupata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Fiorentina.

“Nipo hapa na naamini kuwa nitaendelea kuwa hapa, naamini kuwa msimu ujao nitakuwa hapa kwa asilimia 1000, hapa ni sehemu muhimu kwangu na nimepata mafanikio makubwa sana hapa,” alisema Ronaldo baada ya mchezo huo.

Huu ni ubingwa wa nane mfululizo kwa Juventus kwenye Serie A na ukiwa ni wa 35 kwa jumla.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad