Sheria ya Kukatazwa Asichorwe Kibonzo yamtia Shaka Rais Kagame

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Rais wa Rwanda Mhe.Paul Kagame atofautiana na maamuzi ya mahakama kuu ya Rwanda ambayo juzi imetoa hukumu ambayo inasema, kuchora kibonzo kinachomkejeli Rais kwa njia yoyote Ile ni kosa la jinai. 


Rais Kagame amesema anaheshimu maamuzi ya mahakama ila anaomba sheria inayowakataza wanahabari kumchora vile wanavyotaka wao, ichunguzwe upya.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad