Usiiamini Sana Simu yako ya Smart Phone Ipo siku Utakuumbua tu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

NAKAZIA tena wanabodi usiiamini smartphone yako hata siku moja leo yamenikuta makubwaa. Zimepita kama 2weeks bila kuonana na bibie, sasa leo si tukapanga tutoke out tukainjoy.

bhasi kwakuwa najua kuna vimchepuko nachat navyo sana si nikafuta uchafu wote nikawa kidume najiamini kifua mbele

Leo nimemimit na bibie akachukua cm kama kawaida ya wanawake wanachokitafutaga huwa wanakipata, leo ilikua siku yake ya kukipata anachokitafuta.

Hta haikuchukua zaid ya dk3 naona bibie kabadilika sura tyr, ile kurudsha sim naona chats zote za mchepuko hata sikuamini, alichofanya akanambia nashukuru amelegea htr zile chats ni htr kwa afya wakuu emesepa zake nmejarib mwomba wapi.

Ujinga nlofanya siku delete kumbe nili archive chat kwa iphone user wanajua wkt wa kufuta chat kuna option 2 huwa znakuja sasa me siku delete nka archive bila kujua

Nmemwacha asepe ntamchek ksho morning atakuw katulia nawaza sound za kumpa hapa nampenda sana jaman huyu bibie ndo wife material wangu. Huyu bibie kajitoa sana kwangu ananipenda sana najuta hapa akinisamehe naahidi kutuliaa .

Usisiamin smart phone ako jaman unaweza futa hata picha zote afu moja ikabakia, smartphone zinanisnitch sana.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad