Kimkadashian Awatoa Wafungwa 17 Jela

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MWANAMITINDO Mmarekani,  Kim Kardashian,  ameamua kurudi kuisaidia jamii na kuanzisha kampeni yake kusaidia wafungwa iitwayo “90 DAYS OF FREEDOM’’ akishirikiana na wanasheria Brittany K, Barnett na Miangel Cody, kwa kipindi cha miezi mitatu.



Kampeni iyo amesaidia kuwatoa jela wafungwa 17 huku baadhi yao akiwasaidia kupata makazi na ajira. Hii ni baada ya Rais wa Marekani, Donald Trump, kusaini hatua ya kwanza ya sheria inayoruhusu baadhi ya watu waliofungwa kwa tuhuma za dawa za kulevya kuomba kupunguziwa adhabu.

Kwa kipindi hiki Kim Kardashian amekuwa akipokea simu nyingi kwa watu mbalimbali wakihitaji msaada wa ndugu zao waliopo jela ili wapatiwe msaada wa kuachiwa uhuru
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad