AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mwenyekiti wa BAVICHA kata ya Shibula Richard Mazongozongo amekihama chama chake cha CHADEMA na kujiunga na Chama cha Mapinduzi na Kupokelewa na Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Ilemela Ndg. Nelson Stanley Mesha katika ziara inayoendelea wilayani humo na kupewa jina la Nyakua nyakua.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK