Lemutuz Awashukia Askofu na Katibu Mkuu wa CCM Kwa Kuleta Siasa Msiba wa Mengi...Afunguka Haya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Ameandika Haya Lemutuz Kupitia Ukurasa wake wa Instagram : -  LIVE STRAIGHT TALK: The Politics of Confusion mbele ya Jeneza la Mtanzania Shujaa Super Bilioneaz Dr. Abraham Reginald Mengi aliyeanzia kutembea bila viatu mpaka kumiliki Mali za thamani ya US$550 Million ghafla wakatokea Wanasiasa wetu wakiongozwa na Askofu ambaye sio siri ni Mshabiki mkubwa wa siasa za Upinzani badala ya kuwapa hope Wananchi wengi waliokusanyika kumlilia Shujaa aliyewasaidia sana kimaisha wao wakaamua kuitumia nafasi ile kutuonyesha Uwezo wao wa Kufikiri unapoanzia na kuishia ....

ETI kwa Mwanasiasa kurudia utani wa Jadi wa mtaani wakati wa kumuaga Marehemu kwa kutumia maneno kama.."huyu alikuwa Mchaga wa tofauti sana maana alikua na Roho kubwa ya kusaidia mpaka Walemavu as opposed na Tabia ya Wachaga ya kupenda pesa na kutosaidia mtu" ...yaani Baba Askofu, Kiongozi wa Upinzani Bungeni na Katibu Mkuu wa Chama changu CCM wakaona mazuri yote aliyoyafanya Marehemu Mengi kwa hili Taifa sio muhimu kuyaongelea namna ya kuyaenzi kwa kutumia nafasi zao Kitaifa badala yake ni muda wa Kumtengenezea Kesi RC na Kumkaanga pale pale Kanisani mbele ya Jeneza la Marehemu bila hata kujali pale ni mahali Patakatifu, bila hata Kujali Familia na Ndugu na Marafiki wa Marehemu wanataka kusikia faraja sio MAJUNGU na Siasa za Majitaka ....SHAME ON YOU ALL eti maneno ya RC kuwa "Ukitaka kumjua Mchaga angusha pesa tu Chini" ni maneno mabaya sana kwa Taifa na yanaweza kuligawanya Taifa yaani huyu Askofu na Mwenyekiti wa Chadema wamesahau wametoa kauli ngapi za kuligawa Taifa mpaka Leo wame qualify kumshambulia RC kuhusu kauli za utani tu kuhusu Kabila la Wachagga! ...

Eti Katibu wa CCM naye anaungana na hawa Wapinzani kumkaanga Askari wa Chama chake bila hata kujali kwamba anawasaidia Wapinzani ambao at the end of the day wote wanakichukia CCM...nyinyi Viongozi wetu Jana mmekosea sana kwa kushindwa kumuenzi Marehemu badala yake mnapoteza Muda kuonyesha Chuki zenu kwa aliyemteua RC kwa kusingizia maneno ya kitoto ya mtaani kuhusu Wachaga ...yes tatizo ni Kichwa cha RC kwa mfano aliyemteua akimtema kama mnavyoombea ina maana mtaishia hapo kwa RC tu? Si mtapigana na yeye aliyemteua naye aondoke? ...MUNGU MREHEMU SHUJAA MZEE MENGI! AMEN! -

@lemutuz_superbrand
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. bado yuko hospitali. badala ya kuangalia kibamia chake, anamtetea shoga mwezie. Laanatull llah.

    ReplyDelete

Top Post Ad