R. Kelly Amaliza Deni la Matunzo ya Watoto wake Mbele ya Mahakama

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Inaripotiwa kuwa mwimbaji R. Kelly alishinda mahakamani nusu siku kwa ajili ya kukamilisha madai mawili ikiwemo kujibu kwa nini alishindwa kufika mahakamani kwenye shauri lake la kwanza la unyanyasaji wa kingono na pili shtaka la kutoa matumizi ya watoto wake.

Inaelezwa kuwa R.Kelly alikuwa atumikie kifungo cha miaka kadhaa jela kwa kushindwa kulipa fedha za matunzo ya watoto wake watatu kwa mkewe wa zamani Andrea Kellz, ndani ya Mahakama siku ya May 8,2019 R. Kelly  alilazimika kutoa kiasi cha dola 162,000 za Kimarekani sawa na shilingi Milioni 373 za Kitanzania na kumaliza deni hilo la miezi mitatu.

Pia imekuwa ikielezwa kuwa R.Kelly humlipa Andrea Kellz kiasi cha shilingi milioni 46 za Kitanzania kila mwezi. Kutokana na shtaka la kwanza la kushindwa kufika mahakamani, wakili alimtetea kuwa R. Kelly alifikishiwa wito akiwa jela na hakuweza kuusoma kwa sababu ana matatizo ya usomaji.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad