VIDEO: Majambazi walioteka gari ya abiria wanaswa, wawili wauawa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Jeshi la Polisi mkoani Manyara limewaua watu wawili wanaodhaniwa kuwa ni majambazi katika wilaya ya Kiteto baada ya kujibizana kwa risasi na askari waliokuwa kwenye harakati za kuwakamata.

Kamanda wa polisi mkoa wa Manyara Austino Senga amethbitisha kutokea kwa matukio hayo likiwemo la utekaji na kueleza kuwa, mkoa wake sio eneo la majaribio hivyo wananchi wasiwajaribu na kwamba wakija kwa moto jeshi hilo halitokuwa na ajizi watawagonga.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad