Waziri Atoa Siri, Magufuli Alivyopokelewa A.Kusini

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Vijana na Watu wenye Ulemavu, Anthony Mavunde amebainisha kuwa Rais Magufuli ni miongoni mwa Marais ambao walipokelewa kwa shangwe kubwa sana, wakati akiwasili kwenye hafla ya kuapishwa kwa Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa,


Naibu Waziri Mavunde amesema hayo jjijini Dar es salaam wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Ubungo ya Kijani,  ambayo imelenga kuelekea uchaguzi za Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu hapa nchini 2020.

"Mimi nimetoka nje ya nchi jana (Namibia), ukitamka Magufuli nje ya mipaka ya Tanzania anapokelewa kwa shangwe kubwa sana, na ndiyo maana Afrika Kusini alipokelewa kwa shangwe kubwa kuliko Marais wote, ni uthibitisho kwamba Rais anafanya vizuri sana Afrika", amesema  Mavunde.

"Nje ya mipaka ya Tanzania wanaona kazi nzuri iliyofanywa na Rais Magufuli, sisi watu ndani macho yetu yanapaswa kuona vizuri zaidi, nawashukuru zaidi Madiwani ambao mmeamua kumuunga mkono", ameongeza Mavunde

Mapema jana kiongozi huyo alizindua kampeni hiyo ya Ubungo ya kijani ikiwa kuelekea chaguzi mbalimbali nchini ambapo chama hicho kimelenga kurejesha baadhi ya maeneo ambayo yanaongozwa na vyama vya upinzani katika mkoa wa Dar es salaam.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ubungo ya kijani, nilifikiri kupanda plants na majani kuiremba ubungo!

    ReplyDelete

Top Post Ad