Jambazi Ampulizia Dawa Askari na Kumuibia Siraha

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Afisa wa polisi katika kituo cha Riruta nchini Kenya amepuliziwa dawa na kuibiwa silaha yake na washukiwa wa ujambazi. James Obiri alikutwa amelala kando ya barabara ya Mtamba katika mtaa wa Highridge karibu na kituo cha polisi cha Parklands.

Kulingana na ripoti iliyoandikishwa kituoni hapo  Alhamisi, Juni 20,2019 Obiri alikuwa amepoteza fahamu na hakuweza kuzungumza wakati alikimbizwa katika hospitali ya Avenue ili kufanyiwa uchunguzi wa matibabu.

 "Maafisa wa polisi waliomtembelea walimpata akiwa amelazwa baada ya kupelekwa hospitalini humo akiwa hali mahututi na maafisa wa polisi wa Parklands. Afisa huyo alipewa dawa aina ya opioid kulingana na uchunguzi wa madaktari," imesema ripoti hiyo.

Bastola yake iliyochukuliwa ilikuwa na risasi 14. Hata hivyo hii sio mara ya kwanza kwa maafisa wa polisi kupoteza silaha zao mikononi mwa wahalifu nchini humo.

Jumanne, Aprili 16, majambazi walivamia kituo cha polisi kaunti ya Nandi na kuiba bunduki tatu wakati maafisa waliokuwa wakishika doria walikuwa wameenda kutazama mechi
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad