Mtoto wa Messi Kiboko Anamtania Baba yake Kutolewa na Liverpool

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Nahodha wa FC Barcelona na timu ya taifa ya Argentina Lionel Messi inaonekana ni miongoni mwa wazazi ambao wanaachia watoto wao wafanye au washabikie kile kitu ambacho wanakipenda.

Lionel Messi akihojiwa na TYC ameongea maisha ya familia yake na watoti wake kuwa mwanae akiwa anacheza nae nyumba alimtania baba yake kuwa yeye ni shabiki wa Liverpool kwa sababu wamemfunga baba yake.

“Tulikuwa tunacheza na mwanangu (Thiago) nyumbani akaniambia kuwa yeye ni shabiki wa Liverpool kwa sababu wamenifunga mimi” Lionel Messi

Lionel Messi na mke wake Antonio wamebarikiwa kupata watoto watatu wa kiume Thiago, Mateo na Ciro lakini hivi karibuni Barcelona walitolewa nusu fainali ya Champions League na Liverpool baada ya kushinda 3-0 nyumbani na walipoenda Anfield wakafungwa 4-0
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad