Mzee wa Upako"Kusali kwa kupayuka sio ishara yakuwa maombi yanamfikia Mungu ni kukosa hekima"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

“Kusali kwa kupayuka sio ishara yakuwa maombi yanamfikia Mungu ni kukosa hekima maana kunaweza kuleta makwazo kwa majirani na pia kuwapa watu faida ya kuyasikia matatizo yako, Mathayo 6:7 mwalimu Yesu anasema ..nanyi mkiwa katika kusali msipayuke payuke kama watu wa mataifa maana wao hudhani ya kuwa watasikiwa kwa sababu ya maneno yao kuwa mengi, kikubwa kinachotakiwa ni ushirika wako wa rohoni na Mungu”- Mchungaji Anthony Lusekelo

Mzee wa Upako"Kusali kwa kupayuka sio ishara yakuwa maombi yanamfikia Mungu ni kukosa hekima"
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad