Rais wa zamani wa Gambia afilisiwa mali zake zote na serikali

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Waziri wa Sheria ya Gambia, Abubacarr Tambadou hapo jana  katika mkutano na waandishi wa habari alisema kuwa mali zote za Rais wa zamani wa nchi hiyo, Yahya Jammeh zimetaifishwa na serikali.

Tambadou aliongeza kuwa ofisi yake inachukua hatua zote za kumshauri Rais juu ya ripoti hiyo, na kuongeza kwamba mali za Jammeh zilizobinafsishwa na serikali zinajumuisha mali zote zilizozalishwa kwa sasa ambazo tayari zipo.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad