VIDEO: Prof. Lipumba Atema Cheche Waliowasaliti/ Amvaa Kubenea, Amtaka Wazichape "Kavu Kavu"

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa


Mwenyekiti wa CUF taifa, Prof. Ibrahim Lipumba amefunguka kuhusu wabunge ambao waliwasaliti na kuleta mgogoro ndani ya chama chao. Pia Lipumba amemvaa Mbunge wa jimbo la Ubungo Said Kubenea kwa kudai kuwa aliwahi kumchafua na kumtaka kama anaweza wazichape.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI:
_________

 Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad