Vyama vingine vina nongwa, kususia uchaguzi - Polepole

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Katibu wa Itikadi na Uenezi,  Ndugu Humphrey Polepole amesema kuwa vyama vingine vina nongwa na wakati mwingine wanasusia uchaguzi.

Polepole amesema kuwa kupiga kura ni haki ya mtu na huku akisema kuwa wanaheshimu sana Katiba.

"Hivi vyama vingine vina nongwa, wakati mwingine wanasusia uchaguzi kupiga kura ni haki ya mtu na tunaheshimu sana Katiba, sasa tuelewane  sisi tuna wapiga kura milioni 15 hivyo ushindi ni kati ya zaidi ya 71%  hadi 90% ,"  amesema Polepole leo kwenye Mkutano wake na waandishi wa habari.

Ameendelea kwa kusema kuwa Kuhusu suala Wakurugenzi kusimamia uchaguzi sisi tulikaa kimya sio kwamba hatuna hoja ya kuzungumza lakini tunaheshimu mamlaka.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad