Amber Ruty Afunguka Kwa MARA ya Kwanza Baada ya Video Nyingine Akifanya Ngono Kuvuja

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Siku ya jana huko mitandaoni kimeibuka Video mpya ikiwaonyesha Amber ruty na mmewe wa ndoa wakifanya mapenzi huku wakijirekodi, bado haijafahamika vizuri kama hiyo video ni ya zamani au ni mpya , lakini mwenyewe leo amejitokeza na kuandika haya kwenye page yake ya Instagram:

"Habar nasikitishwa sana na baadhi ya vitu vinavyofanywa na watu wanaotumia matumizi mabaya ya mitandao kwanjia ya kutaka nionekane mkosefu kila leo ingawa pia najiskia vibaya kuona hata watu wanaotuzunguka nao kushindwa kuchunguza kiundani jambo hili na kukumbuka swalazima lililowahi kutokea mpaka kupelekea mamlaka husika kutuchukulia hatua na tukajisalimisha kituoni tukasota sana segerea nampaka leo bado kesi ipo mahakaman kupitia hizo izo picha /video chafu wanazo zisambaza tena kwa mara nyingine tena sipo hapa kwa jili yakutaka kujua anaefanya ivi kusudio lake ni nini kwasababu hata ukitazama mionekano yetu ya sasa nahizo video ukianza na mikono ya mmewangu davil mpaka vidolen ambapo amechora tattoos toka mwaka jana mwezi wa 12 napia atamimi ukijalibu kuniangalia the way nilivyo sasa na hzo video kuna utafauti mkubwa sana pengine furaha ya mtu anaefanya haya yote ni kuona ndoto zetu zinapotelea gizani au kutaka kuona mmoja kati yetu kapoteza uhai ukizingatia swala tayar lipo mahakaman toka October mwaka jana lakin bado leo hii wanayarudia kuyafufua hayo hayo, kiukweli tumechanganyikiwa kiakili mpaka kiafya atupo sawa ombiletu ni kuomba anaeusika na ili jambo tunaomba aache maramoja kuendelea kwasababu sisi ni binadamu maumivu /mateso tunayoyapitia kwakipindi hiki ni makubwa mno please please."
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad