Esma PLatnumz Afunguka "Tanasha Ana Uzungu Wa Roho, Zari Mpenda Masifa Sana"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Mpaka ifike siku ya kesho tutayasikia na kuona mengi aisee, sikia hii dada wa msanii Dimaond Platnumz, Esma Khan amefunguka na kudai kuwa wapenzi wa zamani wa msanii huyo wallikua wanapenda show off (Kujionyesha)

Akizungumza katika interview ya Block 89  Wasafi Fm, amedai kwa warembo wote ambao kaka yaek ashawahi toka nao siku za nyuma walikua na madrama, ila  Tanasha hana madrama kuliko hao wengine.

Diamond Platnumz alishawahi kuwa kimapenzi na Zari, Hamisa Mobetto na wengine kibao!

Kipindi cha nyuma, Esma Platnumz alishawahi kuwa rebeled kama Yuda kutokana na kuamisha amisha upepo wa mapenzi yake kwa wifi zake, inakumbukwa baada ya Diamond Kuachana na Wema na kwenda kwa Zari alihamisha majeshi na sasa kwa Tanasha.

Akizungumza na Wasafi Fm, bila kutaja jina Esma amedai kuwa ma-ex wengine kama Wema na Zari walikua wanapost mapicha picha instagram kuonyesha kila kona mjengo wa Diamond.

Tabia hii bado ipo kwenye maisha ya sasa ya Zari amekua akionyesha majumba na magari ambayo King Bae wake anayo. Kitu alichofanikiwa kuficha ni sura tu ya huyo jamaa lakini wananchi mtandaoni tayari washamjua ni mtu wa namna gani.

Esma aliendelea kufunguka kuwa Tanasha anatabia za kizungu hajionyeshi. Wazo hili liliungwa mkono sana na Mama yao. Upole wake na ukimya umemfanya kuwa tofauti na wengine.

Wananchi wa mtandaoni wengi wameonyesha hisia zao ju ya kauli hiyo ya Esma na huku wengi wakionekana kuunga mkono kauli hiyo. Huku ikionekana na vita ya Kenya na Zari, cheki Zari alivyokula za uso hapa;



Wildess Shiznit In short, you can be younger but maturer. 🤭

Brenda Oyuga Scovier Am team zari …bt hapa kuna kaukweli

Mukami Dee Kamencu Ametoka +254 hawana drama kabsa …huyo mtoto wa soil

Wahyto Min JayD Key point :KILA MTU ANA TOFAUTI ZAKE ….ata mimi ningepiga corner zote ningekuwa shosholite….kim kardashian hupiga hata chini ya kitanda soo zari wangu ako tu sawa!!!

Nancy Buchel Sisi Kama wakenya hatunaga kiherehere

Sylvia Naisiimoi Rotiken Which is true.. Ingekuwa wengine hata Choo tungeona Inakaa aje… By the way I haven’t seen his new house how it looks… We need someone who loves taking pictures

Stella Mamake Whitney Wakenya tulizaliwa na Mali sasa utashinda ukipiga kiti picha a na bedroom

Binti Kidosho Very true mwengine mpaka vijiko na vibakuli twaonyeshwa.Container lenyewe tushaonyeshwa twangoja milango imalizwa kuchomelewa

Carol Keem Si ni ukweli!!??? 😂😂😂😂😂 That woman is dumb AF. Robe za honeymoon sijui kuliendaje coz of kiherehere

Winnie Jade Spending all ur life talking about ur baby bro n his clandes…….shika mambo yako esma
Britney Rey She is very right about this….even now ajuza akikula waru na kukunya hadi aposti.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Esma wewe ni kigeugeu, zamani ulikuwa unamsifia Zari, unamponda Hamisa, leo unamponda Zari, unamsifia natasha, akiachwa hutamponda?

    ReplyDelete
  2. yaani nakumbuka huyu Esma alivyokua anamsifia Zari na kumtukana Hamisa na Mamayake. leo Zari kawa mbaya?? huu ni zaidi ya unafiki. ila hii family inalaana kubwa ya kumtumia yule shoga lokole kuwatukana watu. but iko siku yatawarudia. malipo ni hapa hapa duniani.

    ReplyDelete

Top Post Ad