Msanii Drake afunguliwa kesi na shabiki

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Shabiki aliyejulikana kwa jina la Amanda Giovacco,24, amefungua kesi ya madai dhidi ya Drake baada ya kupata madhara ya ubongo akiwa kwenye show ya rapa huyu ya August 8, 2016.

Amanda anasema kwenye show ya Drake iliyoandaliwa na Live Nation katika Madison Square Garden, waliruhusu fujo za mashabiki mpaka kuweza kurusha chupa za vinywaji na mmoja ilimgonga kichwani na kupelekea kupata madhara hayo.

Amanda anasema show haikuwa na walinzi wa kutosha, kulikuwa na pombe kupita kiasi, chupa za vyupa na sio vikombe vya plastic, walinzi walishindwa kumudu umati wa watu na fujo za show za Drake. Matatizo aliyopata ya ubongo yamepelekea Amanda kushindwa kwenda kusomea udaktari.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad