Nyota Yako Leo Ijumaa Jul 2019

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

NYOTA YAKO LEO IJUMAA JULAI 19/2019:

☣️SIMBA LEO (Julai 23– Agosti 22)
Leo mipango ya ndoa au mapenzi itaendelea kama kawaida na mwanamme au mwanamke utakaekutana nae atakupa mawazo mazuri kuhusiana na mipango yako na hiyo itakuwa ni dalili ya kufanikiwa kwa kila jambo.

☣️MASHUKE– (Agosti 23- Septemba 23)
Hivi sasa unafikiri sana juu ya safari na unataka safari hiyo ifanikiwe Unakabiliwa na upinzani, uadui, au Kipindi hiki moyo wako umeshughulika sana na Mwanamke au mshirika wako au ndugu zako au rafiki yako Epuka fedheha inayokuja.

☣️MIZANI– (Septemba 24- Oktoba 23)
Leo Inaonekana kutatokea mgogoro mkubwa kati yako wewe na mmoja wa hao unaowategemea Wewe unataka kuwaongoza na wao wanakufanya wewe adui yao, Migongano hiyo imewahi kuzua mzozo wa kutupiana maneno machafu hadharani ambapo palijaa watu wengi wakawa wanakusikilizeni jaribu kuwa mvumilivu.

☣️NG'E– (Oktoba 24- Novemba 22)
Siku ya leo huyo uliegombana nae huenda akakushitaki au kukufanyia fitina au kukuroga, kuwa muangalifu Vile vile una wasiwasi sana juu ya kupungua kwa pesa zako au kufukuzwa kazi inaonekana pia una wasiwasi mwingi juu ya mtoto kuwa katika taabu huko aliko, au ugonjwa ulionao kama utapona au kama watu uliowaomba msaada watakupigania toa sadaka mambo yatafunguka.

☣️MSHALE– (Novemba 23- Desemba 23)
Hivi sasa katika moyo wako una wasiwasi sana kuhusu kuongoka kwa mambo yako, una dhamira ya kusafiri lakini unaona uzito na unataka safari hiyo ifutwe au isiwepo Kuna ushindani mzito na unataka upate ushindi Njia nyepesi ni kuwaona wakubwa watakusaidia.

☣️MBUZI– (Desemba 22– January 20)
Leo una matarajio unayo yangojea unataka yafanikiwe na pana mkutano unaokutia wasiwasi Kuna marafiki au washirika wako unaotaka sana kukutana nao. Vile vile unafikiria sana juu ya ndugu zako ambao wako katika mgogoro na wanawake au wanaume zao. Jaribu usijiingize katika ugomvi au mgogoro utaadhirika.

☣️NDOO– (January 23– February 19)
Leo katika roho yako unapenda sana kununua kitu cha makelele kama Redio, kuna matatizo au ugonjwa unataka ukuondokee Na safari ya mbali ije. Hicho unachotaka kununua nunua kipya kilichotumika kitakuletea matatizo, ugonjwa unaokusumbua utapata tiba yake.

☣️SAMAKI– (February 20- March 20)
Leo Ijumaa  akikujia mtu akakwambia anaumwa, hiyo ni dalili ya kuletewa zawadi kutoka kwa rafiki yako aliye mbali Kuna habari ya matatizo utaletewa kati ya leo na jumapili ijayo. Kuwa tayari kukabiliana na habari hizo.

☣️PUNDA- (March 20- April 20)
Leo mambo yako mengi yatakwama unatakiwa uwatumie watu wengine kukusaidia Mwendee mtu mkubwa katika dini ambaye atakusaidia kuondokana na shida hizo.

☣️NG’OMBE– (April 21– May 21)
Leo maisha yako yatakuwa mazuri matatizo madogomadogo kama maradhi au kukosa pesa au kugombana na watu yatapungua Vile vile Mkeo au mumeo atakufurahisha kwa zawadi atakayokupa.

☣️MAPACHA– (May 22- Juni 23)
Leo wakati wowote ukikutana ghafla na mtu aliyebeba begi tupu hiyo ni dalili kuwa mambo yote uliyokuwa unayafuatilia hayatafanikiwa unashauriwa usianzishe biashara ya aina yeyote kwa wakati huu.

☣️KAA– (Juni 22- Julai 22)
Kama Leo ukimuona Mjusi aliyekufa, basi hiyo ni dalili ya kuwa mambo yako yatafuatiliwa na watu bila ya wewe mwenyewe kujua kuwa mwangalifu kwa kila siku                                         

SHEIKHE ISAYA ANAMSHUKURU MWENYEZI mungu kwa kumpa karama na uwezo wa kufundisha na kuwaombea dua, viumbe wake na anawashukuru wote mliorudi kutowa shukrani, kwake wengine mlioko nje ya nchi, shekhe isaya anatabiri nyota, kuondoa nussi mikosi, kutoa majini wabaya, kutafsiri ndoto, kumvuta na kumrundisha mmeo ama mkeo, kupata kazi, kupata cheo, kushinda kesi, kufaulu masomo,  naukiitaji kufatiria nyota yako kila siku, ingia katika pager yetu ya Facebook >>tumaini tiba asili << utaona yota yako kila siku  ISAYA ANAPATIKANA OFISINI KWAKE MAGOMENI MSIKITI WA KINYUNGI SIMU AU WHATSAPP +255745495181  0682644040
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad