Tanasha na Daimond Watarajia Kupata Mtoto Mwenyewe Afunguka

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Tanasha Dona ameeleza ni kwa jinsi gani alivyokuwa na furaha pia atoa shukurani kwa kuweza kupata baraka ya mtoto huku akikazia kumlinda na mambo mabaya.

Kwa mujibu wa Tanasha, hapo mwanzo alihisi hayuko tayari kuwa mama lakini kadri siku zilizozidi kwenda alipata kuelewa na kufurahia hali hiyo.

Pia Tanasha amemsifia mwanae huyo na kudai kuwa ni 'Handsome' baada ya kuangalia picha za 3D UltraSound. Ameeleza hayo yote kupitia ujumbe aliochapisha kwenye ukurasa wake wa Instagram.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad