AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mwenyekiti wa bodi hiyo Bw. David Maahlamela amesema, mafanikio hayo muhimu ya kutambuliwa na kuongezwa kwa lugha asilia ya Afrika katika kanda hiyo ni juhudi kubwa kwa kuhakikisha maendeleo, matumizi na taaluma ya lugha za urithi katika eneo hilo.
Maahlamela amesema, kwa hatua hiyo, kwa sasa Kiswahili ndo kitakuwa Lugha pekee na ya kwanza ya Asili kutumika ndani ya bara la Afrika kati ya taifa moja la jingine ambayo ni wanachama wa SADC.
Amesema, Afrika ndo bara pekee ambalo watoto huanza kufundishwa shuleni kwa lugha za kigeni huku waafrika walio wengi wakipotoshwa kuwa Lugha za Kigeni kama Kingereza, Kifarasa, Kireno ndo Muhimu zaidi kwa taifa la Kiafrika kupiga hatua yoyote ya maendeleo
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Kila mzalendo wa Afrika anapongeza sana Kiswahili kutumika SADC sababu ni lugha pekee yenye asili ya Afrika kati ya zile tatu Kiingereza, Kifaransa na Kireno zilizo rasmi hivi sasa. Tunaamini Kiswahili kitachukua nafasi yake baadaye kiwe lugha rasmi Namba 1.
ReplyDeleteMungu Kibariki Kiswahili.
Mungu Ibariki Afrika.