Ebitoke: Mlela ‘Kafa Kaoza’ Kwangu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

CHEZEA mapenzi wewe! Mtu akipenda haoni wala haambiwi, umemsikia msanii wa vichekesho, Anna Exvery ‘Ebitoke’? Aanasema kuwa anawashangaa watu wanavyoponda mapenzi yake yake na msanii mwenzake, Yusuph Mlela. 

Akibonga na Za Motomoto ya Risasi, Ebitoke alisema kuwa hata kama watasema vipi yeye na Mlela wameshapendana na hakuna wakuwatenganisha hata kama wanasema hawaendani bali Mlela kafa kaoza kwake.


“Halafu kinachonishangaza wanajua mimi na Mlela tumeanza jana wakati tulianza uhusiano muda mrefu sana na maneno yao hayawezi kuvunja uhusiano wetu, kama hatujaendana wao wameendana naye? Tena watambue Mlela haoni wala hasikii yaani kafa kaoza kwangu,” alisema Ebitoke.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad