Haji Manara Afunguka Kuhusu Kutimuliwa Simba

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 
Msemaji wa klabu ya soka ya Simba Haji Manara amesema yeye bado ni msemaji wa Simba na hakuna kitu chochote, tofauti na inavyoelezwa mitandaoni kuwa amefukuzwa kazi.


 ''Nafasi ya kiti hiki cha usemaji wa @SimbaSCTanzania sitakikalia miaka yote lazima kuna siku nitakiachia na sio mimi tu NI kwa yeyote hata baada ya mimi, kwasasa ibaki hivyo kiti hiki nakikalia mimi'' - @HajiManara #SimbaPress


Akiongea leo na wanahabari, Manara amesema kuwa mara nyingi vitu vingi vinaanzishwa mitandaoni na sio lazima yeye avitolee ufafanuzi lakini suala la kufukuzwa hajafukuzwa, japo ukweli ni kwamba hatokaa kwenye nafasi hiyo milele.

Aidha Manara amewataka mashabiki wa Simba kujitokeza kwa wingi uwanjani siku ya Jumapili kwenye mchezo wao wa marejeano dhidi ya UD Songo ya Msumbiji, utakaopigwa kwenye uwanja wa taifa.


East Africa TV

@eastafricatv
 ''Nawaomba wanasimba na watanzania wote, waje uwanjani siku ya Jumapili na tiketi tutaanza kuuza mapema sana siku ya Alhamis na mimi kwenye Champions League huwa napenda kukaa kwa mashabiki'' - @HajiManara #SimbaPress

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad