Kimenuka..Harmonize Ahusishwa Kuondoka WCB, Ushahidi Huu Hapa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Staa wa muziki nchini Tanzania  Rajab Abdul Kahali ameonesha mabadiliko ya kuondoa utambulisho wake wa kusainiwa chini ya lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB)

Tofauti hiyo ilionekana kwenye ukurasa wa staa huyo wa wimbo wa Kwangwaru aliomshirikisha Diamond Platnumz, ambapo kilichoondolewa ni maelezo ya awali ya kuwa chini ya mkataba na lebo hiyo.

Julai 31, 2019 Harmonize alikanusha kuondoka katika kundi la WCB, lakini tukio hili linathibitisha yanayoongelewa kuwa yana ukweli.



Kwenye Bio za wasanii wote waliopo chini ya Kundi la WCB (Rayvanny, Mbosso na Queen Darleen) zinasomeka “Singed under WCB Wasafi Label” isipokuwa Harmonize ambaye ameonekana kubadilisha hivi karibuni.

Kwa sasa profile ya Harmonize inasomeka “East African Young Star 🇹🇿 #WCB4LIFE Booking: Bookharmonize@yahoo.com”, while the other read “Musician from East Africa Tz, Signed Under WCB wasafi Booking: Bookharmonize@yahoo.com”.

Hivi karibuni, Harmonize almaarufu Konde Boy aliwaambia wanahabari waangalie masuala muhimu yatakayowezesha kukuza mziki wa Tanzania kuliko kutengeneza bifu kati yake na familia WCB.



Harmonize makes unexpected changes, is he leaving Wasafi Records?
Je, Harmonize ameondoka Wasafi Records?
Wadadisi wa tasnia ya burudani nchini wanasema Konde Boy tayari amekuwa na jina kubwa kiasi cha kutotaka kuwa chini WCB ili kutengeneza pesa zaidi, hivyo kutaka kujitegemea.

Julai mwaka ana Rich Mavoko alichukua uamuzi wa kujiondoa WCB, sababu ikiwa ni kutaka kujisimamia kazi zake yeye mwenyewe

Muda utaeleza kama kweli Harmonize anaondoka au anabaki WCB!
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad