Irene Uwoya amuomba RC Makonda kupokea viongozi wa SADC, Hamisa aahidi kumsaidia

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Muigizaji wa Filamu Irene Uwoya amemuomba Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuwapokea wageni wanaokuja kwenye Mkutano wa SADC.

Irene Uwoya ameomba kitengo cha kumpokea Mfalme Mswati na wageni wengine huku akiomba awekwe yeye kwasababu ni mcheshi na Mwanamitindo, Hamisa Mobetto akisema amekubali kumsaidia jambo hilo.

Irene amesema kuwa anajua sehemu mbali mbali za Dar es salaam hivyo atawatembeze na pia kuhusu ulinzi amedai kuwa yeye amepitia Scout na alikuwa kiongozi.

"Jaman mashabiki zangu naomba mnisaidie kumuita @baba_keagan hapa maana huu ugeni wa SADC ndani ya mkoa wetu sijui mheshimiwa Makonda atanipa kamati gani nimsaidie."

"Ila mimi naona itanifaa ile kamati ya kumpokea Mswati jamani kiukweli naahidi nitaliwakilisha vyema taifa na wala sitamuangusha," aliandika Makonda.

"Au labda Mkuu anipe kupokea Maraisi jaman naahidi sitamuangusha maana nipo vizuri,mapema nitakuwa airport na hivi uwanja ni mpya halaf mzuri balaa aaaahhh jaman sasa nitashindwaje."
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad