Kim Nana Nimekufa Nimeoza kwa Tbway

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

VIDEO vixen maarufu Bongo, Lilian Kessy ’Kim nana’ amesema kwa sasa amekufa ameoza kwa mapenzi wake ambaye pia ni mtangazaji wa TV, Tbway.

Akipiga stori mbili tatu na Mikito Nusunusu, Kim Nana alisema hategemei kuja kuachana na mwanaume huyo, labda mwenyewe ndiyo aje amuache.

Jambo ambalo si rahisi kwani shoo zake si za kitoto. “ Hivi nikikuambia nimekufa nimeoza kwa huyu mwanaume huwezi kuamini, nampenda jamani na sitegemei kuja kuachana naye kabisa,” alisema Kim Nana.

Kim Nana alishawahi kudaiwa kutoka kimapenzi na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ambapo uhusiano wao uliwahi kupewa baraka na mama wa msanii huyo, Sanura Kassim ‘Bi Sandra’.
Kim Nana alishawahi kudaiwa kutoka kimapenzi na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ambapo uhusiano wao uliwahi kupewa baraka na mama wa msanii huyo, Sanura Kassim ‘Bi Sandra’.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad