Mtangazaji wa DW Afariki Dunia

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mtangazaji wa Idhaa ya Kiswahili (DW) Mohammed Dahman amefariki dunia siku ya Ijumaa (02.08.2019) Jijini Cologne, magharibi mwa Ujerumani.

Taarifa za kifo cha mtangazaji huyo mahiri zimetolewa na Mkuu wa Idhaa ya Kiswahili ya DW, Andrea Schmidt

Mohammed Dahman alikuwa mwandishi wa habari mahiri katika nyanja zote, lakini alipendelea sana taarifa ya habari za ulimwengu na makala ya mbiu ya mnyonge.

Asilimia kubwa ya wasikilizaji walizipenda sana makala zake kuhusu masuala ya haki za binadamu na sauti yake ya huruma na alikuwa makini sana katika kuhakikisha taarifa zake pamoja na makala haziegemei upande mmoja.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na mkuu wa DW, Andrea Schmidt imesema kuwa, Dahman alikuwa akiugua kwa kipindi cha takribani miaka miwili na muda wote huo hakuweza kufanyakazi.

”Katika wakati huu mgumu wa majaribu, fikra na dua zetu tunazielekeza kwa mke wake, binti yake na familia yake visiwani Zanzibar na ughaibuni. Tunawapa pole na kutoa rambirambi zetu kwa majonzi makubwa, machozi yakitiririka machoni mwetu. Tunawaombea. Tulimpenda, lakini Mungu amempenda zaidi.”imeeleza taarifa hiyo
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad