'Mtu Akinifanyia Ubaya Nalipiza Kisasi' - Mwana FA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii wa HipHop na mfanyabiashara Mwana Fa amefunguka suala zima la kulipiza kisasi, kwa mtu aliyemkosea na ishu za uwezo na bahati katika maisha.


Mwana Fa amezungumza hayo leo kupitia EATV & EA Radio Digital, baada ya kusema kulipiza kisasi ni imani ya mtu,

"Huwa nawapanga watu kwenye makundi nikigundua tunaishi vizuri nakuweka juu kama hatuwezani nakufungia vioo. Siwezi ku-deal na mtu asiye na maarifa, pia kila visasi vyangu ni kwa watu walionikosea kama nipo katika nafasi  nita-deal nao tu, ila wakati mwingine wanasema kisasi ni chakula kizuri kukiacha kwa muda, baadae nakuja kukukata kichwa".

Aidha msanii huyo amezungumzia suala la kuweza na bahati katika maisha, ambapo amesema huwa anaamini katika kuweza kwa sababu ni kitu cha kudumu na mtu anatakiwa akifanye kwa uwezo, ufundi na ujuzi.

Pia ameendela kusema bahati ni muhimu sana katika maisha kwa sababu anaamini kuna watu wanaweza sana ila hawana bahati hivyo hupata wakati mgumu kwenye maisha yao.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad