AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Sallam Amesema
"Harmonize Ndani ya Moyo Wake Hayuko WCB, Lakini Kimakaratasi Yuko WCB, Harmonize Ametuma Barua ya Maombi ya Kuvunja Mkataba wake WCB na Yuko Ridhaa Kupitia Vipengele Vyote vya Sheria ili kuweza Kuvunja Mkataba Wake." .
Sallam Ameendelea Kwa Kusema Kuwa Wamependezwa na Maamuzi hayo ya Harmonize Kutokana na Kwamba yeye Mwenyewe Ameridhia na Kuamua Kufuata Sheria.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Salam, ukiendelea kuwakandamiza Wasanii na ukisaidiwa na Tale tela. Mjitathmini na kuhakikisha kodi zenu ziko vizuri.
ReplyDeleteVanny na Domo wakio doka utabaki na Nani?
Tale atapiga trump na wewe utacharaza nyuzi.. NI bora muanze mazoezi sasa. Manake Hao wote WAO doka hivi muda Si mrefu muenxelee kuuza karanga na sijui pafi yuum bado zipo.