Waziri Bashungwa “Soko la Korosho limepatikana Nje ya Nchi, tunajipanga msimu ujao”

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Waziri Bashungwa “Soko la Korosho limepatikana Nje ya Nchi, tunajipanga msimu ujao”
Waziri wa Viwanda na Biashara Innocent Bashungwa ameshuhudia meli ya kwanza ikipakia Korosho katika Bandari ya Mtwara ambayo imeuzwa Nje ya Nchi, haya ni matokeo ya ziara aliyofanya baada ya kuteuliwa na Rais Magufuli.

“Hii ni hatua muhimu ktk kujiandaa na msimu mpya wa korosho unaokaribia, Serikali imelenga kumpa Mkulima bei anayostahili, pili ilikusanya korosho zote na kuweka sehemu salama” Waziri Bashungwa

“Sasa masoko yamepatikana, zoezi la upakiaji kwenye meli limeanza, tumejipanga kusimamia msimu mpya unaokuja uwe na manufaa kwa Wakulima wetu” Waziri Bashungwa

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad