Niyonzima: Hakuna wa kuifunga Simba Taifa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Niyonzima: Hakuna wa kuifunga Simba Taifa
KIUNGO wa zamani wa Simba na Yanga, Haruna Niyonzima amesema kuwa hakuna timu yoyote yenye uwezo wa kuifunga Simba ikiwa inacheza kwenye Uwanja wa Taifa, Dar.

Niyonzima ameyasema hayo ikiwa Simba ipo kambini ikijiandaa kuvaana na UD do Songo katika mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika utakaopigwa keshokutwa Jumapili kwenye Uwanja wa Taifa, Dar.

Akizungumza na Championi Ijumaa, Niyonzima amesema ameiona Simba mpya na kukiri kuwa ipo vizuri na ana imani itafanya vizuri msimu huu, huku akiongeza kwamba hakuna timu itakayoweza kuizuia kupata
ushindi ikiwa ndani ya uwanja wao wa nyumbani.


“Simba ni timu nzuri tangu msimu uliopita lakini kwa awamu hii nimeona mabadiliko ya wachezaji ambao wengi ni wazuri pia na wanaweza wakaisaidia Simba kufanya vizuri zaidi, sidhani kama kuna timu itaweza kuifunga Simba ikiwa Uwanja wa Taifa,” alisema Niyonzima.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad