Zitto Kabwe Atoa Neno KESI ya Mwandishi Erick Kabendera "Tunajua Tatizo ni Kazi Yako"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Ameandika haya Zitto Kabwe:

"Tunajua wewe hujapanga njama zozote dhidi ya yeyote.
Tunajua wewe sio mkwepa Kodi na tunajua huna hela za kutakatisha.
Tunajua tatizo ni kazi yako.
Ni uandishi wako.
Ni msimamo wako. Ni weledi wako.
Sisi marafiki zako tutapambania Uhuru wako. Inaweza kuchukua muda mrefu lakini TUTASHINDA.
Erick utakuwa huru, makosa yao ya kubumba yaliyokusweka jela hayatashinda haki. Watesi wako walisema wewe sio raia, Leo wamekutangaza wenyewe kuwa ni raia. Hata haya makosa ya sasa wao wenyewe watakutangaza kuwa huna.

We are happy that You are Strong Eric"
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad