DMX Asaini Mkataba Mpya Ruff Ryders

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

KAMPUNI ya muziki ya Ruff Ryders imesaini mkataba mpya na Def Jam Records, kwa mujibu wa XXL. Mwaka 1998, mwanamuziki DMX  aliachia rekodi yake ya kwanza ya It’s Dark and Hell Is Hot katika lebohiyo na inashika namba katika mauzo miaka ya mwishoni ya 1990 na mwanzoni mwa 2000.

Katika kipindi hicho aliachia albam tano zikiwemo za  Flesh of My Flesh, Blood of My Blood  na mnamo 1999 aliachia And Then There Was X ambapo albam ya mwisho ilikuwa mwaka  2003’ ikiitwa  Grand Champ.


Swizz Beatz ilithibitisha utiaji saini huyo katika mahojiano na  “The Breakfast Club.

“Mambo yote yamesainiwa hivyo utakuwa mwaka wenye neema kwake, Mungu akipenda.  Atakwenda mahali ambapo amekuwa anataka kwenda,” alisema ofisa mmoja wa lebo
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad