AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
MTOTO mzuri Nandy amedaiwa kunasa ujauzito kufuatia wananzengo kuona kipande kipya cha video cha mrembo huyo. Kwenye kurasa mbalimbali za umbea huko Instagram, wametupia kipande cha video kinachomuonesha Nandy akiwa na aliyekuwa mpenzi wake Bilnass wakiwa wanatembea huku wakizungushia kiduara kwenye eneo la tumbo la Nandy.
“Mh! Shostito kitumbo hichi vipi tayari nini baba la baba keshafanya mambo?” alihoji mdau mmoja Instagram. Hata hivyo licha ya kipande hicho cha video kutembea sana Instagram, Nandy mwenyewe hakufunguka chochote.
-------------------
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
INTERNSHIP VACANCIES
GOVERNMENT VACANCIES
NGO'S VACANCIES
GOODLUCK