AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
MTOTO mzuri Nandy amedaiwa kunasa ujauzito kufuatia wananzengo kuona kipande kipya cha video cha mrembo huyo. Kwenye kurasa mbalimbali za umbea huko Instagram, wametupia kipande cha video kinachomuonesha Nandy akiwa na aliyekuwa mpenzi wake Bilnass wakiwa wanatembea huku wakizungushia kiduara kwenye eneo la tumbo la Nandy.
“Mh! Shostito kitumbo hichi vipi tayari nini baba la baba keshafanya mambo?” alihoji mdau mmoja Instagram. Hata hivyo licha ya kipande hicho cha video kutembea sana Instagram, Nandy mwenyewe hakufunguka chochote
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK