Kocha wa Simba SC “Uchebe” kamapa zawadi CEO mpya wa Simba SC

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kocha wa Simba SC “Uchebe” kamapa zawadi CEO mpya wa Simba SC
Kocha mkuu wa Simba SC Patrick Aussems baada ya kumalizika kwa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Tanzania bara dhidi ya Mtibwa Sugar katika viwanja vya Uhuru, mchezo huo umemalizika kwa Simba SC kupata ushindi wa 2-1.

Magoli ya Simba SC yakifungwa na Meddie Kagere dakika ya 17 na baadae kusawazisha kupitia kwa Msuya dakika ya 30, kabla ya Super Sub Miraj kufanya vizuri kwa sasa kupachika goli la ushindi dakika ya 68, ushindi huo kocha mkuu wa Simba SC Patrick Aussems amesema ni zawadi kwa CEO wao mpya raia wa Afrika Kusini.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad