Maskini Majeruhi Wengine Wawili Ajali ya Moto Morogoro Wafariki

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Idadi ya waliokufa kutokana na ajali ya moto iliyotokea mkoani Morogoro imefikia 104 baada ya majeruhi wawili kati ya 13 waliokuwa wamelazwa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), jijini Dar es Salaam kufariki dunia.

Hayo yamebainishwa na Mkuu wa kitengo cha mawasiliano wa MNH, Aminiel Aligaesha leo amabapo amesema Asha Ally Seleman (28) alifariki Jumatano iliyopita ya Agosti 28, 2019 na Avelina Pastory Aman (30) alifariki jana Jumamosi Agosti 31,2019.

Amesema majeruhi 11 ndio wamebaki hospitalini hapo kati ya 47 waliopokelewa tangu ajali hiyo ilipotokea ambapo mpaka sasa 36 wamefariki.

Ikumbukwe kuwa ajali hiyo ilitokea Agosti 10, 2019 katika mtaa wa Itingi, Msamvu barabara ya Morogoro-Dar es Salaam baada ya lori la mafuta ya petroli kupinduka na kuwaka moto muda mfupi baada ya watu kuanza kuchota mafuta.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad