Serikali yawaonya wanaobeza elimu ya watu wazima.

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Halmashauri ya manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera imeadhimisha Wiki ya Elimu ya Watu Wazima yenye kauli mbiu “Elimu haina Mwisho’ wakati ambapo jamii asilimia kubwa bado ina fikra potofu juu ya dhana ya Elimu hii.

Akizungumza Mara baada ya Kuhitimisha sherehe za Maadhimisho hayo Katibu tawala wilaya ya Bukoba, Kadole Kilugala amekiri kuwepo Kwa upotoshaji wa dhana nzima ya elimu ya watu wazima, na kueleza kuwa  kuwa wengi hudhani elimu hii inalenga wazee tu au watu wenye umri zaidi ya miaka 18, jambo ambalo sio sahihi kwani Elimu hii Kwa sasa inamgusa mtu yeyote aliyekosa Elimu na stadi za maisha kubwa ikiwa ni kujua kusoma, kuhesabu na kuandika maarufu kama “K” tatu, Kwa utaratibu MEMKWA na MESKWA.

Kadole amesema takwimu zinaonesha kuwa Sensa iliyofanyika mwaka 2012 inaonesha kuwa asilimia 22 ya Watanzania hawajui kusoma na kuandika, hivyo Serikali tayari imeanza utaratibu wa kuwezesha programu hii kupitia mpango wa Elimu bila malipo na Kwa mara ya kwanza mwaka huu Manispaa ya Bukoba wametenga Milioni Nne kuongeza ufanisi wa Elimu hii
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad