9/16/2019

TETESi: Msanii Alikiba Ampa Talaka Tatu Mkewe Chanzo Kikiwa ni Ndugu, Kurogana na Wasanii Wake


Msanii Alikiba a.k.a King Kiba amempa talaka tatu mkewe Amina raia wa kenya baada ya kushindwa kupata muafaka juu ya ugomvi wao na ndugu wa Alikiba na Mama wa Alikiba.

Ndoa ya King Kiba ilianza kuingia dosari baada ya Amina kutaka ndugu wa Alikiba wakajitafutie maisha yao na wajitegemee jambo ambalo lilizua taharuki na ugomvi mkubwa baini ya ndugu wa Alikiba na Amina..

Amina alidai ni vigumu kuishi na watu wengi vile ndani ya nyumba moja ambapo mpaka wasanii wake wa Kings Music Wanaishi Humo humo, hata kama ni ghorofa na bado kuwe na amani...hivyo alimshauri alikiba awape mitaji wakajitegemee au awapangie nyumba nyingine.....

Hili jambo liliendeleza mgogoro mkubwa hadi Mama Alikiba kiingilia kati na kutaka Alikiba amuache Amina na akadai apendi hata watoto wa Alikiba kuwa pale....
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

2 comments:

  1. Inasikitisha sana ndoa nyingi zinaharibika kwa sababu ya ndugu ambao ni mizigo isiyobebeka, huyo mwanamke yupo sahihi kutaka ndugu wa Alikiba wakajitegemee hata hivyo kama habari hii ni kweli nampa pole huyo dada kwa kilichomtokea, ndugu ni chanzo kikubwa cha kuharibu ndoa.

    ReplyDelete
  2. Maisha ni upuuzi fulan ambao wengi wetu tumeupuuza! kama tusinge upuuza upuuzi huu bac haikua shida hata kuwa na watu mia zote wanaokutengea maana unajiweza!!!! utawabania watu mwisho wa maisha haya ni kufa 2...ruka,tambaa utakufa2 ishi kwenye ghorofa, tumia gari Kali utakufa....kuwa huna haja ya kujifanya mjuZi maana wote ni kufa 2

    ReplyDelete

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger