Antonio Nugaz Amchana Vibaya HAJI Manara ‘Siwezi Kujifunza kwa mtu Asiye na Hela Wala Elimu, Anajisifia Uboya’

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA





Msemaji na Mhamasishaji wa klabu ya Yanga, Antonio Nugaz amesema kuwa hana cha kujifunza kwa msemaji wa Simba Tanzania, Haji Manara.



Nugaz akiongoza na Bongo5 amesema Manara ni mtu anayeongea tu lakini hana kitu cha kumshawishi au kujifunza kwani hana elimu wala fedha.

Kwa upande mwingine Nugaz amewaomba Mashabiki wa Yanga Jumapili hii Oktoba 27 wajitokeze katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, Kushuhudia mchezo wa Kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya Pyramids FC.

Relate
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad