DC Ilalà Amwagia Sifa Harmonize "Rais Magufuli hakukosea, Hakuna kijana Tanzania anayefanya kazi kama Harmonize”

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema amesema kuwa msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Harmonize ni moja ya vijana wanaofanya kazi kubwa zaidi kuitangaza Tanzania nje ya nchi na kazi za kusaidia jamii.



DC Mjema akiongea kwenye uzinduzi wa msanii huyo wa ‘KONDE BOY MGAHAWA’, Amesema kitendo cha Rais Magufuli kutamani kumuona Harmonize akigombea Ubunge jimboni kwao Tandahimba, Hakukosea kwani kijana anayejitolea kusaidia jamii yake.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad