KENYA: Askari Polisi Aliyepinga Kupelekwa Maeneo ya Kazi Ambayo Hawezi Kujipatia Ulaji Apewa Likizo ya Lazima

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Jane Asimizi, Jumatano iliyopita alipinga waziwazi kupangiwa maeneo ya kazi ambayo anasema kwake ni ngumu kutengeneza fedha

Kiongozi wake Eliud Kinuthia, amesema kuwa wamelazimika kumpa likizo hiyo Asimizi ili apumzike wakati wakiendelea na uchunguzi wa suala hilo

Ameongeza kuwa wameagiza afanyiwe uchunguzi wa afya ya akili kwakuwa si kawaida kwa Askari mwenye maadili kudai anataka kupangiwa maeneo atakayojipatia fedha

Kupitia video fupi, Jane Asimizi alionekana akiwalaumu wakuu wake wa kazi kwa kutompanga kusimamia mitihani ya kitaifa inayofanyika nchini humo

Kupitia video hiyo aliongeza kuwa anapelekwa maeneo yasiyo na rushwa kwa sababu yeye ni mwenyeji wa Turkana   
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad