JPM Azungumza na Viongozi wa AALCO, Waziri wa China

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


RAIS John  Magufuli leo Oktoba 23, 2019,  amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi  wa Taasisi ya Mashauriano ya Kisheria kwa Nchi za Asia na Afrika (AALCO) na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Ikulu jijini Dar es Salaam.


Rais  John  Magufuli akizungumza na Viongozi wa Taasisi ya Mashauriano ya Kisheria kwa Nchi za Asia na Afrika (AALCO) ambao wanahudhuria mkutano wa 58 unaofanyika nchini kwa siku tano ukiwakutanisha wajumbe kutoka nchi wanachama 49 na mashirika mbalimbali, walipomtembelea Ikulu jijini Dar es Salaam. leo Oktoba 23, 2019
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad