Lema Aliamsha DUDE Asema Kama Kuna Kiongozi Anaumwa Waseme na sio Kuficha

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mbunge wa Arusha mjini (Chadema), Godbless Lema amesema ujumbe aliouweka Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda katika mtandao wa kijamii Twitter unaonyesha kuna jambo nchini.

Lema aliandika ujumbe huo kupitia ukurasa wake wa Twitter kuwa waache uwoga kama kuna mtu anaumwa ama kiongozi waseme kwani ni Mungu pekee ndiye hawezi kuumwa.

“Sio udhaifu mtu kuumwa ni udhaifu wa fikra kufikiri kiongozi hawezi kuugua,” aliandika Lema

Makonda katika ukurasa wake wa Twitter aliandika ujumbe kuwa usimuombee mabaya adui yako kwa sababu kuna siku utamhitaji. Tafakari.

Hata hivyo , Mbunge lema alimjibu kuwa ni kweli kabisa kwani adui wa nani kapatwa na mabaya?





----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hata Lema..!!

    Si unajua kama Gambo yupo Ngangari.

    Au umepewa viza Nchini Twita?

    ReplyDelete
  2. Wapoteza Majimbo Watarajiwa. Mnahaha

    Hata wewe Lema..!!Rastamani Jaah pipo.

    Si unajua kama Gambo yupo Ngangari.

    Au umepewa viza Nchini Twita?

    ReplyDelete
  3. Hizi Sigara zisizokuwa na tredi maki
    zina wachanganya hawa vijana.

    Inawezekana kuwa Sembe pia anafanyia Majaribio.

    Angallia, chunnga gari ikipamba Moto
    halafu huna bleki, What do U expect..?

    ReplyDelete

Top Post Ad