Mkurugenzi Aliyempiga Risasi Meneja Ajisalimisha Polisi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MKURUGENZI mtendaji wa kampuni ya ulinzi ya Bonds Security, Frenk Kessy, hatimaye ametoka mafichoni na kujikabidhi kituo cha Polisi jijini Arusha na kuwekwa mahabusu baada ya kumjeruhi kwa risasi meneja wa Kampuni Vya Maxshield, Endrew Lubange,  katika ugomvi wa kugombea lindo la Mzungu.

Kessy akiwa ameambatana na wakili wake aitwaye Fidex Peter, alijikabidhi kituo cha polisi hana, majira ya jioni na kupokelewa kwa bashasha na polisi waliokuwa wakimwinda kwa udi na uvumba huku akidai kwamba alikuwa jijini Nairobi nchini Kenya kuhudhuria mkutano.

Baada ya kumpokea, polisi walimvua mkanda, saa na vitu vingine na kutakiwa kuingia selo na kwamba jalada lake nimehamishiwa katika kituo cha polisi Usa River, Arumeru,  alikofanyia tukio na leo atakabidhiwa katika kituo hicho ili taratibu zingine za kumfikisha mahakamani ziendelee
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad