PREZZO “Afrika Tungekuwa na MARAIS 10 Kama Magufuli HUYU Tungekuwa Mbali Sana”

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Prezzo alipost video fupi katika mtandao wa kijamii wa Instagram ikimuonyesha Rais Magufuli akimsaidia Mama mmoja ambaye alishindwa kulipa pesa,alizokuwa anadaiwa katika Hospital ya taifa ya Muhimbili.



Prezzo ameandika:-

“Hii ilini-touch, Africa tungekuwa na viongozi kumi kama Muheshimiwa Magufuli kwakweli tungekuwa mbali sana badala ya kupata taabu saaaana. Mwenyezi Mungu azidi kubariki kazi ya mikono yako Your Excellency”

NAFASI ZA AJIRA BONYEZA HAPA

Baada ya muda mfupi mashabiki walitoa maoni yao kuhusu video hiyo iliyopostiwa na Prezzo ambapo waliandika,

Eunice 8181 “Iliumiza wengi Sana, tuna Rais mwenye huruma Sana hasa kwa wanyonge”.

John Maniha “Bonge la point bro. dingi huyu ni mashine na hana uoga kabisa, hata wazungu anawachana live bila kupepesa macho”.

Asiimwe David “President magufuli mungu azidi kumlinda na pia akupe maisha mazuri more life mr president your humanity is a gift from God”.

Ikumbukwe tu Prezzo ameingia rasmi kwenye siasa baada ya kutangazwa kugombea Ubunge katika kaunti ya Kibra iliyopo kusini mwa Jiji la Nairobi, msanii mwingine ambaye ameingia katika siasa ni Jose Chameleone kutoka nchini Uganda.

Kama watafanikiwa kushinda katika uchaguzi wao wataungana na wasanii ambao wapo kwenye uongozi wa siasa kama Prof. Jay , Joseph Mbilinyi “Mr II Sugu”, na Jaguar kutoka Kenya.

NAFASI ZA AJIRA BONYEZA HAPA

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad