Wapenzi Ambao Hawajafunga ndoa Sasa RUKSA Kulala Chumba Kimoja Saudi Arabia

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Katika harakati za kulenga kuvutia wageni zaidi, Saudi Arabia imezidi kulegeza sheria zake kwa sasa mwanaume na mwanamke ambao ni wapenzi na hawajaoana wanaweza kupatiwa chumba kimoja na kulala pamoja katika hoteli lakini hilo ni kwa wageni pekee.

Katika mabadiliko hayo ya sheria ambayo yanaonekana kuendelea katika nchi hiyo inayoendeshwa na sheria za kihafidhina za dini ya Kiislamu sasa ni ruksa hata mwanamke kuchukua chumba katika hoteli jambo ambalo halikuwepo hapo awali.

Hii ikiwa ni sehemu ya mabadiliko ya masharti ya kupata viza yaliyotangazwa hivi karibuni.

“Raia wote wa Saudi wamekuwa wakitakiwa kuonyesha kitgambulisho ama cheti cha ndoa pindi wanapotaka kuchukua chumba cha hoteli. Lakini hili halitahitajika kwa watalii wa kigeni,” hayo yalisemwa na ‘Commission for Tourism and National Heritage’ ya Saudia.
NAFASI ZA AJIRA BONYEZA HAPA

Falme hiyo inasimamia sheria kali ya dini ya Kiislamu inayokataza mtu kufanya tendo la ngono bila ndoa. Wiki iliyopita kwa mara ya kwanza nchi hiyo ilitoa ‘visa’ kwa watalii wa kigeni kwa mara ya kwanza bila kuangalia sheria hiyo kwa lengo la kukuza uchumi wake unaotegemea zaidi mafuta huku maafisa wa Saudia wakipongeza kama hatua kubwa katika historia.

Saudi Arabia pia amefanya mageuzi mengine ya sheria kama vile kuwazuia wanawake kuendesha magari ama kujifunza udereva mwaka 2018 na kuwapatia haki zao pia za kusafiri nje ya nchi.

NAFASI ZA AJIRA BONYEZA HAPA
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad