RC Makonda apoke msaada kutoka balozi za United Arab Emirates

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Paul Makonda amepokea msaada wa pesa kwaajili ya Bima ya Afya kwa Watoto 500 kutoka kwa balozi wa United Arab Emirates, H.E Khalifa Abdulrahman Almarzooqi



RC Makonda akiwa katika ubalozi huo uliyopo jijini Dar es Salaam ametumia nafasi hiyo pia kumshukuru kwa kuwasomesha wototo 100 wa kike kwa kidato cha tano, kwa mchango wao katika kipindi cha Mwezi wa Ramadhani kwa kupata futari ya misikiti ya Maimamu zaidi ya 800 lakini pia kusaidi kuleta Madaktari  waliyofanya opereshani katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ya watoto wa moyo.

”Watoto wote waliyopo Muhimbili, wanaofanyiwa operesheni sasa ninakwenda kuwalipia Bima ya Afya ya mwaka nzima. Wazazi wao hawatahangaika kutafuta gharama yoyote ile ya matibabu, gharama hiyo nitakuwa nimei ‘cover’ kupitia msaada huu ambao ndugu yangu amenipatia.”
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad