Taifa Stars Yafuzu Kucheza Fainali za CHAN 2020 Kwa Mara ya Kwanza Baada ya Miaka 10

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars leo ilikuwa nchini Sudan katika jiji la Khartoum kucheza mchezo wao wa marudiano wa kuwania kufuzu kucheza fainali za CHAN 2020 dhidi ya Sudan, Tanzania ilienda Sudan ikiwa imepoteza 1-0 katika mchezo wake wa kwanza jijini Dar es Salaam.



Tanzania ikiwa Sudan imefanikiwa kupindua matokeo na kupata ushindi wa 2-1, magoli ya Taifa Stars yalifungwa na Erasto Nyoni dakika ya 49 goli ambalo la kusawazisha na dakika ya Ditram Nchimbi dakika ya 78 aliyeitwa dakika za jioni Taifa Stars baada ya kuifunga Yanga hart-trick akafunga goli la ushindi.

NAFASI ZA 98 AJIRA ZILIZOTANGAZWA LEO BONYEZA HAPA>>AJIRA YAKO


Matokeo yakamalizika kwa aggregate ya 2-2 lakini Tanzaia inafuzu fainali za CHAN baada ya kuwa imefunga magoli mengi ugenini, hii ni mara ya kwanza kwa Taifa Stars inafuzu kucheza fainali za CHAN toka 2009 ilivyofanya hivyo kwa kuitoa Sudan na kwenda Ivory Coast.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad